• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakulima walalamikia bei ya karoti

    (GMT+08:00) 2019-10-04 18:17:00

    Wakulima wa Mau Narok wanalamika wafanyabiashara walikuwa wananunua karoti kwa bei ya chini licha ya gharama kubwa ya uzalishaji.

    Bei ya juu, itawawezesha kufikia gharama za uzalishaji na kupata faida.

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Immaculate Maina amesema shida ni matokeo ya usambazaji duni wa mazao yanayoharibika haraka.

    Wakulima wamesema wanauza karoti katika kaunti jirani kwa sh3,500 mfuko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako