• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chama cha kijamaa chashinda uchaguzi mkuu wa Ureno

    (GMT+08:00) 2019-10-07 08:41:39

    Chama cha kijamaa PS kinachoongozwa na waziri mkuu wa Ureno Antonio Costa kinatarajiwa kushinda kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika jana kwa kupata asilimia 36.7 ya kura. Baada ya asilimia 97.1 ya kura zote kuhesabiwa, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi hiyo imesema chama kikuu cha upinzani PSD kiko katika nafasi ya pili kwa kupata asilimia 28.6.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako