• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya vifo yafikia 104 kwenye maandamano nchini Iraq

    (GMT+08:00) 2019-10-07 08:41:59

    Idadi ya watu waliouawa kwenye maandamano yaliyotokea Baghdad na miji mingine ya Iraq imeongezeka na kufikia 104, huku watu zaidi ya elfu 6 wakijeruhiwa wakiwemo walinzi usalama wengi. Akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani Bw. Saad Maan amesema watu wasiojulikana wenye silaha jana walishambulia ofisi za vyombo vya habari vya ndani na nje, na uchunguzi kuhusu mashambulizi hayo unaendelea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako