• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa Uturuki na Marekani wakubaliana kukutana mwezi ujao mjini Washington

    (GMT+08:00) 2019-10-07 08:42:21
    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki na mwenzake wa Marekani Donald Trump wamekubaliana kwenye mazungumzo yao ya simu kuwa watakutana mjini Washington mwezi ujao. Taarifa iliyotolewa na ikulu ya Uturuki imesema marais hao walibadilishana maoni kuhusu eneo salama lililokubaliwa kuanzishwa nchini Syria, ambapo rais Erdogan alimlalamikia rais Trump kuhusu urasimu unaofanywa na jeshi na idara za usalama za Marekani.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako