• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 20 wauawa baada ya mgodi wa dhahabu nchini Burkina Faso kushambuliwa

    (GMT+08:00) 2019-10-07 17:00:17

    Idara ya usalama nchini Burkina Faso imesema, watu 20 wameuawa baada ya mgodi wa dhahabu ulioko kaskazini mwa nchi hiyo kushambuliwa.

    Habari zinasema, wapiganaji wasiojulikana waliokuwa na silaha walishambulia kwa ghafla mgodi huo wa dhahabu Ijumaa usiku na kuwapigia risasi watu waliokuwa kazini.

    Hadi sasa hakuna kundi ama mtu yeyote aliyekiri kuhusika na shambulizi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako