• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa wito wa kuhimizwa Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja

    (GMT+08:00) 2019-10-08 09:10:24

    Mwakilishi wa kudumu wa China kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Wu Haitao ametoa wito wa kuhimizwa kwa pamoja ujenzi wa Ukanda Mmoja, Njia Moja. Akizungumza kwenye mkutano wa Kamati ya Pili ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa inayoshughulika na masuala ya kiuchumi na kifedha, Bw. Wu amesema Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja linaangalia maendeleo, kusisitiza kanuni za kushauriana kwa kina, kutoa mchango kwa pamoja na kunufaika kwa pamoja, kukuza ushirikiano wazi usiosababisha uchafuzi na kuahidi ushirikiano wa ngazi ya juu ili kuinua maisha ya watu na kuhimiza maendeleo endelevu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako