• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Airtel kuuza simu kwa bei nafuu

  (GMT+08:00) 2019-10-08 18:57:04

  Kampuni ya Simu za mkononi ya Airtel katika wiki hii ya huduma kwa wateja imetangaza kuwa itaendeleza kauli mbiu yao ya 'Thamani ya mteja ni huduma' kwa kushusha bei ya simu za Smartphone katika maduka yao yote nchini ndani ya wiki hii.

  Mkuu wa kitengo cha huduma kwa Mteja Bi, Adrina Lyamba alisema "Airtel katika wiki hii ya huduma kwa wateja kama kawaida yetu tunaungana na watoa huduma wote katika shamra shamra za wiki yetu ya kutoa huduma inayoadhimishwa duniani kote,

  Mwaka huu kauli mbiu ni 'The Magic of Services' na kwa Airtel wanasema wameitafsiri kuwa Thamani ya Mteja ni huduma bora.

  Alisema katika kuadhimisha wiki ya huduma, Airtel Tanzania inatoa shukrani kwa wateja wote wanaotumia huduma zao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako