• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mradi wa kawi ya gesi kuzinduliwa wiki hii 

  (GMT+08:00) 2019-10-08 18:58:40
  Mradi wa kuzalisha kawi kutokona na gesi ya methane katika wilaya ya Rubavu utatarajiwa kuzinduliwa alhamisi.

  Katibu wa kudumu katika wizara ya kawi mhandisi Patrice Uwase, amesema mradi huo utazalisha megawati 55.

  Kulingana na wizara ya kawi, mradi huo unatekelezwa na serikali na wawekezaji wa kibinafsi Shema Power Lake Kivu Limited.

  Mtradi huo unasaidia malengo ya serikali ya kufikisha uzalishaji wa kawi megawati 556 mwaka 2024,.

  Kwa sasa Rwanda inazalisha megawati 224.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako