• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Magma Aviation kuanza kusafirsha bidhaa za kilimo kayti ya Rwanda na Ubelgiji

  (GMT+08:00) 2019-10-08 18:58:58
  Rwanda imeanza safari za moja kwa moja za ndege ya mizigo kwenda ulaya ikitarajia kuongeza mauzo ya bidhaa zake za kilimo barani humo.

  Safari hizo zitakuwa kati ya mji mkuu Kigali na Ubelgiji na zitaendeshhwa na shirika la uingereza la Magma Aviation.

  Kulingana na mamlaka ya kuuza nje bidhaa za kilimo la Uganda ndege hiyo itahudumu kila ijumaa na kusafirisha tani 25.

  Mauzo ya nje ya Rwanda yaliongezeka kwa asilimia 7.5 na kuiletea dola milioni 577 katika nusu ya kwanza ya 2019.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako