• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Iraq yatangaza awamu ya pili ya hatua ili kumaliza machafuko

    (GMT+08:00) 2019-10-09 09:04:45

    Serikali ya Iraq imetangaza awamu ya pili ya hatua zitakazochukuliwa ili kutuliza maandamano makubwa yanayofanyika kote nchini. Hatua hizo ni pamoja na kutenga maeneo ya kujenga makazi kwa watu, kuwawezesha watu kupata bure umeme wa jua au nishati nyingine mbadala, pamoja na kuongeza fursa za ajira kwa vijana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako