• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ikulu ya Marekani yasema haitashiriki kwenye uchunguzi dhidi ya Trump

  (GMT+08:00) 2019-10-09 09:05:07

  Ikulu ya Marekani imesema haitatoa ushirikiano kwenye uchunguzi unaoendelea wa kulenga kumwondoa madarakani rais Donald Trump unaoongozwa na baraza la wawakilishi. Mshauri wa ikulu Bw. Pat Cipollone amesema kwenye barua yake kwa spika wa baraza la wawakilishi Bibi Nancy Pelosi kuwa uchunguzi huo umefanywa kwa njia ya kukiuka haki za kimsingi na utawala wa sheria.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako