• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Iraq asema kuomba mabadiliko ya baraza la mawaziri

    (GMT+08:00) 2019-10-10 10:27:22

    Waziri mkuu wa Iraq Adel Abdul Mahdi amesema ataomba bunge lipige kura kuhusu mabadiliko ya baraza la mawaziri, ikiwa ni sehemu ya mageuzi kufuatia wimbi la maandamano dhidi ya serikali kutokana na ukosefu wa ajira, ufisadi na ukosefu wa huduma za umma. Akilihutubia taifa kwa njia ya televisheni, Bw. Abdul Mahdi amesema atawasilisha mahakamani majina ya maofisa waandamizi wanaotuhumiwa kwa makosa ya ufisadi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako