• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • American Airlines Group kuendeleza marufuku ya Boeing 737 MAX

    (GMT+08:00) 2019-10-10 19:14:26

    Shirika la ndege la American Airlines Group limeongeza muda wa marufuku kwa safari zote zinazohusisha ndege aina ya Inc Boeing 737 MAX hadi Januari 15 mwaka ujao

    Shirika hilo ambalo ndilo kubwa nchini Marekani awali lilikuwa limefuta safari 140 kwa siku hadi Disemba 3, na li,etanga kuwa faida yake itaongezeka hadi dola bilioni 15.

    Mashirika mengi duniani yameacha kutumia ndege aina ya Boeing 737 MAX tangu mwezi Machi baada ya ajali za Indonesia na Ethiopia ambazo ziliuwa watu 346 ndani ya miezi 5 tu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako