• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Safaricom yatoa heshima kwa Eliud Kipchoge

    (GMT+08:00) 2019-10-10 19:15:40

    Kampuni ya mawasiliano ya Safaricom nchini Kenya imetangaza kuwa itaendelea kutumia jina ya mwanariadha Eliud Kipchoge kwenye app yake ya huduma ya Mpesa kwa siku saba.

    Mkurungezi mkuu wa Safaricom Michael Joseph amesema wanafanya hivyo kama njia ya kutoa heshima kwa mwanariadha huyo mairi anayeshiriki mbio maalum za kukimbia kilomita 42 chini ya masaa mawili mjini Vienna Austria.

    Aidha Safaricom itawezesha wateja wake kutazama bila malipo mbio hizo kupitia kwa Youtube.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako