• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Marekani zahitaji kuzidisha maelewano kwa kupitia kuongeza mawasiliano

    (GMT+08:00) 2019-10-10 19:24:39

    Mwakilishi wa taasisi ya Schiller ya kimataifa iliyoko New York Bw. Richard Black amesema, Marekani na China zinahitaji kuongeza mawasiliano kati ya raia na ushirikiano wa pande mbili ili kuzidisha maelewano.

    Bw. Black amesema, mgogoro wa kibiashara kati ya China na Marekani ulitokana na wasiwasi mkubwa wa baadhi ya viongozi wa Marekani kuhusu mafanikio makubwa ya uchumi wa China ambao waliokuwa na maoni yasiyo sahihi na kuzingatia siasa ya kigiografia. Amesema jambo linalopaswa kufanywa ni kujenga upya uaminifu kati ya pande hizo mbili, na kuongeza kuwa maendeleo ya China yataleta manufaa kwa nchi zote duniani ikiwemo Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako