• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Operesheni ya Uturuki yasababisha watu 70,000 kukimbia makazi kaskazini mwa Syria

    (GMT+08:00) 2019-10-11 09:08:59

    Shirika la Uangalizi wa Haki za Binadamu nchini Syria limesema operesheni ya kijeshi ya Uturuki dhidi ya vikosi vya Kikurdi kaskazini mwa Syria imesababisha watu elfu 70 kukimbia makazi yao. Shirika hilo lenye makao makuu nchini Uingereza limesema vijiji 11 vimeingia mikononi mwa vikosi hivyo na waasi washirika wa Syria, na hadi sasa raia 10 wameuawa. Shirika la habari la Syria SANA limesema Uturuki imefanya mashambulizi makali ya mizinga dhidi ya miundombinu ikiwemo vituo vya maji, mitambo ya kuzalisha umeme, visima vya mafuta na makazi ya watu katika mikoa ya Hasakah na Raqqa, nchini Syria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako