• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Marekani zaanza mazungumzo ya raundi mpya ya biashara mjini Washington

    (GMT+08:00) 2019-10-11 09:29:00

    China na Marekani zimeanza raundi mpya ya mazungumzo ya biashara ya ngazi ya juu kushughulikia tofauti zao kuhusu maswala ya uchumi na biashara mjini Washington yalipangwa kufanyika Alhamisi na Ijumaa.

    Ujumbe huo wa China unaongozwa na naibu Waziri Mkuu wa China Bw. Liu He, na Ujumbe wa Marekani unaongozwa na mwakilishi wa biashara wa Marekani Bw. Robert Lighthizer na waziri wa fedha wa Marekani Bw. Steven Mnuchin.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako