• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi aenda kuhudhuria mkutano na viongozi wa India na Nepal

    (GMT+08:00) 2019-10-11 10:22:05

    Kufuatia mialiko ya waziri mkuu wa India Bw. Narendra Modi na rais Bidhya Devi Bhandari wa Nepal, Rais Xi Jinping wa China hii leo ameondoka Beijing na kwenda India kuhudhuria mkutano usio rasmi wa pili kati ya viongozi wa China na India, na kufanya ziara nchini Nepal.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako