• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Wakulima vijijini Rwanda kupata msaada

    (GMT+08:00) 2019-10-11 19:02:50

    Zaidi ya familia 60, 000 za wakulima katika maeneo ya vijijini nchini Rwanda watanufaika na uwekezaji wa euro milioni 18 kuanzia mwaka huu.

    Fedha hizo zitatolewa na serikali ya Rwanda na ile ya Uholanzi na zitasaidia hasa katika maneo matatu ya ukilimo cha mahindi, viazi na kuboresha kilimo cha chai.

    Murungezi wa maendeleo ya kilimo katika wizara ya kilimo Charles Murekezi, amesema fedha hizo zitasaidia juhudi za serikali za kuongeza uzalishaji wa chakula na pia kuongeza ubora.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako