• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Wahudumu wa utalii kupata mafunzo

    (GMT+08:00) 2019-10-11 19:03:39

    Halmashauri ya utalii nchini Uganda imesema kuwa itaanza kutoa mafunzo kwa wahudumu wote wa watalii.

    Mafunzo hayo yatatolewa na halmshauri hiyo pamoja na chuo kuku cha kimataifa cha Isbat na yanalenga kuboresha utoaji wa huduma za kitalii.

    Meneja wa ubora katika mamlaka hiyo Samora Semakula amesema watakaopata mafunzo hayo ni wadau wote kwenye mnyororo wa utalii kama vile maafisa wa uhamiaji, polisi wa watalii, wahudumu wa hoteli, wenye hoteli na wasimamizi wa vivutio vya utalii.

    Uganda hutegemea sana utalii kwa mapato yake ya kigeni, taakwimu zinkionyesha kuwa ilipokea watalii milioni 1.8 mwaka 2018.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako