• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Xi Jinping asema China na India zatakiwa kunufaishana na kusaidiana

    (GMT+08:00) 2019-10-12 19:02:44

    Rais Xi Jinping wa China leo huko Chennai, India alipokutana na waziri mkuu wa India Narendra Modi amesema, kutimiza ustawi wa pamoja wa China na India ni chaguo pekee sahihi kati ya China na India, ambalo linaendana na maslahi ya kimsingi ya nchi hizo mbili na wananchi wao. Rais Xi ameeleza matumaini yake kwamba, pande mbili zinapaswa kufanya mawasiliano ya kimkakati kwa wakati na kutatua kwa mwafaka migongano na masuala nyeti. Amesema ni lazima kutafuta njia ya kutatua suala la mipaka inayokubaliwa na pande mbili kutokana na makubaliano ya kanuni za mwogozo wa kisiasa.

    Rais Xi Jinping na Bw. Modi wamekubaliana kudhibiti na kutatua migongano kwa ufanisi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako