• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jaribio lolote la kufairakanisha China halitafanikiwa

    (GMT+08:00) 2019-10-13 17:02:53

    Rais Xi Jinping wa China leo amefanya mazungumzo na waziri mkuu wa Nepal Bw. Khadga Prasad Sharma Oli.

    Bw. Oli amesema Nepal inaunga mkono China kulinda mamlaka yake na ukamilifu wa ardhi yake, kufuata kanuni ya kuwepo kwa China moja, na kupinga kithabiti na kutoruhusu nguvu yoyote kutumia ardhi ya Nepal kufanya shughuli za kuifarakanisha China.

    Rais Xi amesema, mtu yeyote anayetaka kulitenga eneo lolote la China atashindwa, na nguvu yoyote ya nje inayounga mkono ufarakanishaji wa China halitafanikiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako