• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Simba yatarajiwa kukutana na upinzani mkali dhidi ya Mahsujaa Kigoma

    (GMT+08:00) 2019-10-14 17:02:56

    Mashabiki wa Simba mkoani Kigoma jana walijitokeza kuilaki timu hiyo ilipofika mjini Kigoma kwa ajili ya mecho ya kirafiki dhidi ya Timu ya Mashujaa ya Kigoma. Kocha Mkuu wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems amesema mechi ya leo itakuwa ni kwa ajili ya kuwaimarisha wachezaji wake ambao walikosa nafasi za kuonyesha viwango vyao kwenye michezo minne ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyotangulia. Aussems alisema amefurahia kupata mchezo mzuri dhidi ya Bandari FC ya Kenya, hivyo anaamini leo pia kikosi chake kinatarajia kukutana na ushindani kutoka kwa Mashujaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako