• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Poland, Russia, Ubeligiji na Italia wafuzu fainali za EURO 2020

    (GMT+08:00) 2019-10-14 17:04:04
    Poland na Russia zimejiunga na Italia na Ubelgiji kuwa nchi zilizotangulia kukata tiketi za fainali za kombe la Ulaya EURO 2020. Zpolanda wamepata nafasi yao baada ya kuwachapa Macedonia Kaskazini magoli mawili kwa bila, huku Russia wakiwachabanga Cyprus magoli matano kwa bila. Ujerumani na Uholanzi nazo zimeimarisha nafasi zao kwa ushindi waliopata wikiendi.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako