• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • East Africa: Afrika Mashariki EA kuandikisha ukuaji bora wa Pato la Taifa (GDP) huku Kaskazini, Magharibi, ikiendelea kushuhudia tishio la Mafuta

    (GMT+08:00) 2019-10-14 19:22:03

    Uchumi wa Afrika Mashariki umeelekezwa kupita ukuaji wa miungano ya mikoa mengine mwaka huu, kutokana na kushuka kwa bei ya mafuta na bidhaa kukumba nchi za Kaskazini, Magharibi na Kusini.

    Taasisi ya ukaguzi Chartered Accountants huko Uingereza na Wales (ICAEW) katika makadirio oni yake ya hivi karibuni ya uchumi inakadiri kuwa uchumi wa Afrika Mashariki utaandikisha kiwango cha ukuaji wa Pato la Taifa cha asilimia 6.3 mwaka huu.

    Upanuzi wa Pato la Taifa ni wa juu kuliko makadirio ya ukuaji Kaskazini na Afrika Magharibi, ambayo inakadiriwa kufikia asilimia 2.8 na asilimia 3.4 mtawaliwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako