• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwanamasumbwi wa Marekani mahututi baada ya Knockout

    (GMT+08:00) 2019-10-14 19:29:57

    Bondia Patrick Day wa Marekani anapigania maisha yake baada ya maumivu aliyopata kichwani kwenye mchezo wa jana, aliopoteza kwa knockout. Jana mwanamasumbwi huyo alifanyiwa upasuaji wa ubongo mjini Chicago, na sasa hali yake iko mahututi. Bondia aliyemtwanga knockout Charles Conwell, amejitokeza kwenye mitandao ya kijamii na kuwataka mashabiki wake wamwombee Patrick apone.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako