• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Mashabiki wa Bulgaria wabagua wachezaji weusi wa England.

    (GMT+08:00) 2019-10-15 08:48:22

    Mashabiki wa Bulgaria wameonesha ubaguzi wao kwa wabagua wachezaji weusi wa kikosi cha England. Hasira za kipigo cha mabao 6-0, ndizo zilizochangia mashabiki hao kuanza kuonyesha ishara hizo za kibaguzi. England imeitwanga Bulgaria kwa mabao 6-0 katika mechi ya kuwania kucheza Euro 2020. Hata hivyo walianza kuwakebehi wachezaji wa England wakati wa mapumziko, jambo ambalo wachezaji hao walilifikisha kwa waamuzi. Bulgaria ni kati ya nchi zenye mashabiki wenye tabia za kibaguzi. Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa), limekuwa likipiga vita tabia hizo zisizo za kiungwana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako