• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NDONDI: Bondia wa Marekani, Patrick Day mahututi baada ya kuchezea kipigo, atolewa ulingoni kwa machela

    (GMT+08:00) 2019-10-15 16:46:01
    Bondia wa Marekani Patrick Day yupo mahututi baada ya kupigwa akiwa ulingoni katika roundi ya 10 na mpinzani wake Charles Conwell. Patrick mwenye miaka 27 alipata majeraha makubwa katika ubongo hali iliyomsababishia kupoteza fahamu mpaka sasa ambapo amelazwa katika hospitali ya Northwestern Memorial nchini Marekani. Baada ya pambano hilo lililokomea roundi ya 10, Patrick alibebwa kwa machela kutolewa ulingoni huku akiwa amepoteza fahamu na kuwahishwa hospitali, ambako inaripotiwa kuwa bado hajarejewa na fahamu zake mpaka sasa
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako