• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Majeruhi ya Neymar yatishia maisha yake ya soka

    (GMT+08:00) 2019-10-15 16:47:03
    Mwanasoka ghali duniani Neymar ameumia tena katika mchezo wa kirafiki baina ya Brazil na Nigeria uliopigwa jumapili, ambapo alicheza kwa dakika 13 tu. Neymar amekuwa akisumbuliwa na majeruhi ya mara kwa mara jambo lililomfanya acheze mechi tano katika msimu huu, na tayari amekosa mechi nne kwenye kikosi cha PSG msimu huu
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako