• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Simba yamaliza ushujaa wa Mashujaa

    (GMT+08:00) 2019-10-15 16:48:07
    Pasi ndefu ya Hamis Ndemia iliyomkuta Sharaf Shiboub na kuitendea haki kwa kuzamisha mpira nyavuni dakika ya 56 ilitosha kabisa kwa Simba kumaliza ushujaa wa Mashujaa katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma hapo jana. Katika meshi hiyo ya kirafiki, Simba ilikuwa ikihitaji ushindi wa namna yoyote ili kufuta hasira zake za kutolewa na Mashujaa katika michuano ya Kombe la Shirikisho FA Cup msimu uliopita baada ya kuchapwa mabao 3 – 2.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako