Ramaphosa ameyasema hayo Jumatatu wakati akizungumza kwenye mkutano wa kibiashara wa Financial Times mjini London Uingereza.
Mkutano huo wenye maudhui ya 'Africa in Motion', unaangazia viajan, wanawwake, wajasiriamali, wanasayansi na wavumbuzi wa Afrika.
Aidha Ramaphosa alisema kuwa mpango wa Afrika wa kuzindua eneo huria la kibiashara unalenga kufungua uwezo wa bara hilo kujiendeleza kiuchumi.
Soko huru la Afrika lina zaidi ya watu bilioni 1.2 na pato la jumla la dola trilioni 3.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |