• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Taifa Stars yawasili Khartoum kwa mchezo wa marudiano kufuzu CHAN 2020

    (GMT+08:00) 2019-10-16 16:41:50
    Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars tayari imewasili Khartoum Sudan kwa ajili ya mchezo wake wa marudiano wa kuwania kufuzu kucheza fainali za CHAN 2020 dhidi ya Sudan, Taifa Stars itacheza mchezo huo October 18 2019 ikiwa inahitaji kupindua matokeo baada ya mchezo wao wa kwanza jijini Dar es Salaam kupoteza 1-0. Hivyo Tanzania kama inahitaji kusonga mbele itahitaji ushindi wa walau magoli mawili kwenda juu, kuelekea mchezo huo nahodha namba tatu Erasto Nyoni amethibitisha kuwa wamewasili salama na hakuna mchezaji yoyote ambaye ana majeruhi.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako