• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yasema Ulaya imeshindwa kutekeleza ahadi zake kuhusu nyuklia katika kulinda maslahi ya Iran

    (GMT+08:00) 2019-10-17 09:29:39

    Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Bw. Mohammad Javad Zarif amesema Ulaya imeshindwa kutekeleza ahadi kuhusu nyuklia katika kulinda maslahi ya Iran. Bw. Zarif amesema kufuatia kujitoa kwa Marekani kwenye makubaliano ya nyuklia ya mwaka 2015 JCPOA, Iran iliendelea kufuata makubaliano hayo, lakini Ulaya ilishindwa kuheshimu ahadi zake. Amesema kama ikiwa pande zinazohusika hazichukui hatua za kulinda maslahi ya Iran, Iran itachukua hatua zaidi kupunguza ahadi zake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako