• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Macron na Merkel wana matumaini juu ya makubaliano kuhusu Uingereza kujitoa kutoka Umoja wa Ulaya

    (GMT+08:00) 2019-10-17 09:30:09

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa na chansela wa Ujerumani Bibi Angela Merkel ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa wameeleza matumaini juu ya makubaliano kuhusu Uingereza kujitoa Ulaya kwa utaratibu. Rais Macron amesema anaamini kuwa makubaliano yamehitimishwa na wataweza kuyapitisha. Bibi Merkel pia anaamini kuwa inawezekana kufikia makubaliano kati ya Uingereza na Umoja wa Ulaya kuhusu Uingereza kujitoa Umoja huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako