• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China atuma salamu za pongezi kwa kongamano la Zhongguancun la mwaka 2019

    (GMT+08:00) 2019-10-17 19:31:04

    Kongamano la Zhongguancun la mwaka 2019 limefunguliwa leo hapa Beijing, na Rais Xi Jinping wa China ametuma salamu za pongezi kwa kongamano hilo.

    Rais Xi amesema, hivi sasa duru mpya ya mapinduzi ya sayansi na teknolojia na mageuzi ya seka za uchumi inasonga mbele kwa kasi, na maendeleo ya uvumbuzi na ushirikiano wa kunufaishana ni mwelekeo wa maendeleo. Amesema China inapenda kufanya juhudi kujiunga na ushirikiano wa uvumbuzi wa kimataifa, kubadilishana uzoefu wa matokeo ya maendeleo ya uvumbuzi na nchi nyingine, na kushirikiana nazo kujenga jumuiya yenye mustakabali wa pamoja.

    Kongamano la Zhongguancun lilianzishwa mwaka 2007 likiwa na lengo la kuhimiza mawasiliano kati ya sekta ya sayansi na teknolojia na sekta ya viwanda na ushirikiano wa uvumbuzi kati ya China na nchi za nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako