• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani na Uturuki zafikia makubaliano kuhusu kusimamisha vita

    (GMT+08:00) 2019-10-18 09:28:28

    Marekani na Uturuki zimefikia makubaliano kuhusu kusimamisha vita kwa siku tano na kuanzisha eneo salama kaskazini mwa Syria, baada ya mazungumzo kati ya pande hizo mbili huko Ankara, Uturuki. Makamu wa rais wa Marekani Bw. Mike Pence amesema operesheni za kijeshi zitasimamishwa kwa saa 120. Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Bw. Mevlut Cavusoglu amesema Uturuki itasimamishwa operesheni za kijeshi kaskazini mwa Syria, kwa sharti kuwa magaidi wa kundi la kikurdi YPG na PKK waondoke kutoka sehemu hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako