• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa 74 wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa wachagua wanachama wapya wa baraza la haki za kibinadamu

    (GMT+08:00) 2019-10-18 09:28:53

    Mkutano wa 74 wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa umefanyika na kuchagua wajumbe 14 wapya wa Baraza la haki za binadamu, wakichukua nafasi ya wajumbe ambao muda wao utaishia mwishoni mwa mwaka huu. Wajumbe wapya wataanza kazi tarehe 1 Januari mwaka 2020. Wajumbe hao ni pamoja na Libya, Mauritania, Namibia na Sudan za Afrika; Indonesia, Japan, visiwa vya Marshall na Korea Kusini za Asia na Pasifiki; Armenia na Poland za Ulaya Mashariki; Brazil na Venezuela za Latin Amerika na Caribbean; na Ujerumani na Uholanzi za Ulaya Magharibi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako