• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: ZFF: Tupo tayari kupokea ushauri

    (GMT+08:00) 2019-10-18 16:37:52
    Shirikisho la soka la Zanzibar (ZFF) limetoa fursa kwa mwananchi yoyote au wadau wa soka, kutoa ushauri kwa lengo la kuleta mabadiliko. Akizungumza gazeti hili huko ofisini kwake rais wa Shirikisho hilo Seif Kombo Pandu, alisema anaamini michango hiyo itakuwa njia moja ya kuleta mabadiliko ya soka, sambamba na kufikia malengo ambayo wamejipangia. Alisema tayari ameanza kukutana na baadhi ya makocha wa timu mbali mbali kupokea mchango wao wa mawazo na kuyafanyia kazi kwani michango yao ina umuhimu mkubwa kwa shirikisho hilo.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako