Michezo ya 7 ya kimataifa ya majeshi imefunguliwa leo mjini Wuhan, China. Rais Xi Jinping wa China amehudhuria ufunguzi huo na kutangaza kuanza rasmi kwa michezo hiyo.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |