• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Askari wa Marekani walioondolewa kaskazini mashariki mwa Syria wapelekwa magharibi mwa Iraq

    (GMT+08:00) 2019-10-21 08:59:31

    Waziri wa ulinzi wa Marekani Bw. Mark Esper amesema askari elfu moja wa Marekani walioondolewa kaskazini mashariki mwa Syria, wamepelekwa magharibi mwa Iraq kupambana na kundi la IS. Bw. Esper amesema amejadili mpango huo na mwenzake wa Iraq, lakini kuna uwezekano wa kuubadilisha.

    Habari zinasema ikulu ya Marekani imesema, jeshi la Marekani haliungi mkono Uturuki kuingia katika eneo la kaskazini mwa Syria na kuanza operesheni za kijeshi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako