• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iraq yataka jumuiya ya kimataifa itoe msaada kwa wakimbizi wa Syria

    (GMT+08:00) 2019-10-21 09:46:51

    Waziri wa mambo ya ndani ya eneo la Kurd la Iraq Bw. Rebar Ahmed, jana alipokutana na mratibu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya Iraq Bibi Marta Ruedas, amesema tangu Uturuki ianzishe operesheni ya kijeshi dhidi ya wakurdi kaskazini mwa Syria, wakimbizi wengi wa Syria wameingia Iraq, na jumuiya ya kimataifa inapaswa kutoa msaada kwa wakimbizi hao. Naye Bibi Ruedas amesema Umoja wa Mataifa utajitahidi kushirikiana na eneo la wakurdi la Iraq kuwasaidia wakimbizi. Tangu kutokea kwa mgogoro wa Syria mwaka 2011, Iraq imepokea wakimbizi zaidi ya laki 2.5, na kati yao wengi ni Wakurdi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako