• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ofisa wa Iran asema sekta ya nyuklia ni ya kienyeji

    (GMT+08:00) 2019-10-21 09:47:58

    Msaidizi maalumu wa mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran Bw. Ali Asghar Zare'an, amesema nchi hiyo inajitegemea kikamilifu katika sekta ya nyuklia, na kuweza kutengeneza aina tofauti za mitambo ya kurutubisha uranium. Amesema hakuna anayetaka kuipatia Iran mitambo hiyo, au kuona mitambo hiyo ikifanya kazi nchini humo, lakini sasa maelfu ya mitambo ya kurutubisha Uranium inafanya kazi katika vinu vya Natanz na Fordow.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako