Wakati walipa ushuru wanataka kulipwa katika kiingilio cha bandari , waagizaji wanapendelea malipo kufanywa chini ya mfumo wa sasa mara tu bidhaa zinavyoingia nchini.
Kulipa katika kiingilio cha bandari, inamaanisha waagizaji hawatatumia huduma ya ghala, ambayo iliruhusu wakati wa kuhifadhi bidhaa zao wakiendelea kutafuta fedha za kamilisha majukumu yao ya ushuru.
Maagizo haya mapya yanaweka shinikizo kwa Ofisi ya Kitaifa ya Viwango ya Uganda ili kudhibiti uagizaji vizuri.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |