• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • miradi ya mabwawa kugharimu serikali fedha nyingi

    (GMT+08:00) 2019-10-21 21:00:24

    Kamati ya bunge imeonya kwamba serikali inahatarisha kutopata dhamana ya Sh bilioni 120 iliyowekezwa katika ujenzi wa mabwawa nane nchini kote.

    Imeibuka kuwa baadhi ya miradi mingine imepitwa na wakati baada ya wakarandasi kusimamisha, licha ya kulipwa mabilioni ya shilingi.

    Walipa kodi wakohatarini ya kupoteza Sh bilioni 86.4 malipo ya mapema iliyotolewa kwa wakandarasi wa kigeni kwa miradi mitano ya bwawa ambayo kukamilika kwake sasa hakuonekana kuwa na uhakika.

    Kamati ya Bunge la Kitaifa imeibua hofu kwamba sehemu ya mabilioni ya shilingi ambayo serikali imefanya malipo ya mapema tayari imepotea .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako