• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yasema iko tayari kusuluhisha mgongano na Saudi Arabia

    (GMT+08:00) 2019-10-22 10:02:03

    Waziri wa mambo ya nje wa Iran Bw. Mohammad Javad Zarif amesema yupo tayari kwenda Saudi Arabia kujadili utatuzi wa migongano kati ya nchi hizo. Amesema Iran inafurahia mpango wowote unaojaribu kupunguza mivutano katika kanda hiyo, na itashirikiana na nchi nyingine kumaliza vita ya Yemen, kwani inaamini kumalizika kwa vita hiyo kutanufaisha watu wa Yemen. Ameongeza kuwa Iran siku zote inapenda kujadili chochote na Saudi Arabia, ambayo ni jirani yake na zitakuwa pamoja daima.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako