• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uchumi wa viwanda waendelea kwa hatua madhubuti katika robo tatu ya mwaka huu nchini China

    (GMT+08:00) 2019-10-22 18:26:24

    Mkuu wa Idara ya usimamizi na uratibu kwenye Wizara ya viwanda na upashanaji wa habari ya China Bw. Huang Libin amesema, katika robo tatu ya mwaka huu, uchumi wa viwanda uliendelea kwa utulivu, na ongezeko la thamani ya viwanda imefikia asilimia 5.6 kama lilivyotarajiwa.

    Bw. Huang pia ameeleza kuwa, kutokana na kupungua kwa msukumo wa ongezeko la uchumi duniani, viwanda vya utengenezaji vya China vinakabiliwa na changamoto kubwa. Amesisitiza kuwa wizara hiyo itashirikiana na idara mbalimbali husika, ili kuhakikisha malengo mbalimbali yanafikiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako