Serikali awali ilikuwa imetangaza mipango ya kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta lakini baadaye ikasema mafuta yaliopo eneo la Turkana hayatoshi kibiashara kujenga kiwanda kama hicho.
Katibu wa kudumu kwenye wizra ya petrol Andrew Kamau anasema kiwanda cha kusafisha mafuta kinaweza kujengwa ikiwa Kenya inazalisha mapipa 400,000 kwa siku.
Kenyatta amesema mipango ya baadaye ni kuunnganisha miundo mbinu mingine kama reli na barabara kati ya bandari hiyo na Sudan Kusini na Ethiopia.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |