• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • DRAFTI: Kenya yamaliza wa tatu Afrika Michuano ya Mabingwa wa Dunia wa Drafti

    (GMT+08:00) 2019-10-23 10:03:14

    Mchezaji wa drafti wa Kenya Allan Oyende ameshinda mechi 20 kati ya 32 na kuongoza timu ya taifa ya mchezo wa drafti kumaliza katika nafasi nzuri zaidi ndani ya miaka 10 iliyopita, ambapo Kenya imewekwa nafasi ya tatu Africa kwa mabingwa wa Shirikisho la wacheza Drafti Duniani wanaoongea Kingereza (WESPAC) huko Goa, India. Oyende, aliyeshinda mashindano ya Mabingwa wa Drafti ya Nairobi, amemshinda Mnigeria Emmanuel Umujose 631-404 na Jesse Day wa Marekani mara tatu mfululizo na kuongoza msimamo wa dunia katika wikiendi hii. Hata hivyo, kushindwa mara saba mfululizo katika siku ya pili kukamfanya mchezaji huyo wa Klabu ya Stima kushuka hadi nafasi ya tano kwenye msimamo na baadaye kumaliza akiwa nafasi ya 17 duniani kwa kuwa na pointi 286, akiwa juu kwa nafasi 4 ya bingwa mtetezi Akshay Bhandarkar aliyemaliza nafasi ya 20. Gitonga Nderitu wa Afrika Mashariki amemaliza wa 21 baada ya kushinda mechi 19

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako