• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sheffield United yatafuna Arsenal

    (GMT+08:00) 2019-10-23 17:25:59
    Sheffield United waliandikisha ushindi muhimu dhidi ya Arsenal kwenye uwanja wa Bramall Lane na kupanda hadi ndani ya 10 bora katika msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL). Lys Mousset ambaye alikuwa akiichezea Sheffield kwa mara ya kwanza alifunga bao la pekee baada ya kuunganisha kona ya Jack O'Connell's katika kipindi cha kwanza. Ushindi huo wa Jumatatu usiku ulikuwa wa kwanza mkubwa kwa Sheffield United tangu warejee ligini, na sasa wanakamata nafasi ya tisa, kwa mwanya wa pointi saba kutoka mahali shoka la kuteremka.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako