• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ndayiragije bado asubiri mkataba

    (GMT+08:00) 2019-10-23 17:26:35
    Wakati Azam FC imetangaza kuachana na Etienne Ngayiragije, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema bado halijakamilisha mchakato wa kupata Kocha Mkuu mpya atakayekinoa kikosi cha Timu ya Taifa (Taifa Stars). Rais wa TFF Wallace Karia amesema bado wanasubiri ripoti ya Taifa Stars kutoka kwa Ndayiragije, ambaye amefanikiwa kuipeleka timu hiyo kwenye fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN).

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako